Saturday, January 12, 2008

MAPINDUZI ZENJI


Katibu Mkuu wa CCM Yusuf Makamba akizungumza na wa CUF Sharif Hamad katik asherehe hizo hizo. CUF zamani lwalikuwa wanasusia baada ya muafaka wanahudhuria. Swali: Lini Raila atakaa na Kibaki namna hii ama mpaka aje .....?
Lakini yote ni yote sherehe zilikuwa kwa ajili ya Rais Karume ambaye alitakiwa kukagua gwaride hapa anapitia JWTZ.

No comments: