Sunday, January 13, 2008

KINYWAJI SOO

Mshikaji akiwa hajitambui asubuhi leo katika mtaa mmoja maarufu mjini Morogoro baada yakugida jana usiku.
Watu wanamsaidia lakini wapi, lakini kwa watu mnaojua maeneo ya Moro hapa ni ile sehemu usiku kunakuwa na baa 'klabu' ya kufa mtu panaitwa Mapinduzi! ni kaeneo ka CCM nadhani labda wadau wanaofahamu vyema watatuelekeza mmiliki wa kale kaeneo kuna mpaka wadada poa!

No comments: