Wednesday, January 23, 2008

MZEE WA KUTIBUA

Kama mtu anayependa mambo ya michezo kuna kijana Mzee wa Kutibua anarush aishu kadhaa za michezo na burudani anapatikana mzeewakutibua.blogspot.com. Mnaweza kumtembelea na kumpatia ushauri wa jinsi ya kuboresha fitna zake!

No comments: