Wednesday, January 23, 2008

JAMAA WA KUBENEA

Hawa ndio jamaa wanaodaiwa kumwagia Kubenea na kumbonda mzee Ndimara pale mwanahalisi Office wakiwa mahakamani Kisutu! Sijui ndio wenyewe?

No comments: