Wednesday, January 23, 2008

ZENJ BAAR

Hap andio kiingilio cha kati kwa Unguja wengi tumezoea kuingilia pembeni yaani tuanatumia chombo cha maji!
Na ukiingia na chombo lazima upitie mji mkongwe kama hawa wazungu.
Pale Foro kuna burudani za kizenj huyo hatembei kama Joti bali ni ngoma ya Kibati.
N aukicheza kibati shurti uwe na Salon Sheikh, ni mambo ya unguja!

No comments: