Thursday, January 24, 2008

UTAALAM

Jamani wabongo kiboko cheki nyumba hii huko Sinza jamaa kaijengea na nguzo ua umeme ndani lakini hakuna mtu anajali!!!! Shria zipo lakini.

1 comment:

chaa said...

tanesco ndo walikosea kuweka nguzo kwenye plot yake, ina maana hiyo nguzo kwa kule ndani iko sebuleni au chumbani?? au bafuni??