Tuesday, January 29, 2008

NYOTA YA KIJANI

Alex Ngaiza wa PSI akionyesha dawa za uzazi wa mpango ambazo zitaanza kutumiwa nchini hivi karibuni. Nashangaa siku hizi kampeni za uzazi wa mpango zimeisha nchini ila imebakia Ukimwi tu. Sijui mambo haya tuyayafanya kwa nia ama kutokana na fedha za wafadhiri? Sikuhizi huwezi tena kusikia 'Nyota ya kijani'

No comments: