Tuesday, January 29, 2008

KAMPALA

Kwa wale waliofika Kampala hii ni shemu maarufu sana kwa daladala maarufu kama 'Taxi Park' maeneo ya Owino nilifikiri hii ni soo kwa Tanzania tu! Shuguli ni barabarani ukutane na hizo Taxi na bodaboda kila mmona anatafuta upenyo apite!

No comments: