Tuesday, January 29, 2008

DAR EA SALAAM

Sasa hoo sio Kampala ni Bongo Dar es Salaam, jiji lenyewe limejaa hakuna mipango ya upanuzi sijui itakuwaje ama ndio East Afrika yote ilivyo? Ngoja nitafute za Nairobi tuone!
Cheki watu wanavyopamia madaladala n ahapa sio kituo cha Mbagala ni ubungo tu, Mbagala si ni kifo?

No comments: