Tuesday, January 29, 2008

MILA ZA KWETU

Jamami msishangae huyu mhariri aliyekimbia Nation 'Danny' baada ya kuzuka kichapo kenya akiwa amebeba crate kichwani. Hii ilikuwa shughuli ya Reginald Miruko, mzee wa 'Kisima cha Fikra' ambaye imemlazimu kutafuta jiko. Mzee wa Sumo alikuw akwa nyuma umemcheki? Bidhaa zote ambazo ni sehemu ya mahali zilishushwa ukwemi.
Wengine tukatulia tukamwachia shughuli mshenga wakati tunaandaliwa vinywaji.
Mshenga akakabidhi vitu vilivyotakiwa.
Alipokubaliwa viliingizwa ndani na tukawa tumeshajenga undugu!

No comments: