Monday, January 28, 2008

PINGU AMA KUFULI

Askari akilinda moja ya malango katika Uwanja wa Taifa wakati wa mechi za Ligi kuu bara! Cheki kifaa cha kazi (Pingu) alivyokiweka! Kweli pingu in amatumizi mengi!!!!!!!!!!

No comments: