Friday, January 25, 2008



RAIS George W. Bush wa Marekani anatarajiwa kuitembelea Tanzania, mwezi ujao .
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Habari cha Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam zimesema kuwa ziara hiyo ya Rais Bush, ni katika mpango wake wa kuzitembelea nchi tano za Afrika, ikiwamo Tanzania, kuanzia Februari 15 hadi 21, mwaka huu kwa lengo la kudhihirisha ushirikiano wa karibu uliopo kati ya Marekani na Bara la Afrika.

Rais Bush alitembelea Afrika mara ya mwisho mwaka 2003, ambapo alipitia nchini Kenya katika ziara yake ya kutia sahihi Mkataba Anga huru na viongozi wa nchi kadhaa za bara hili.

1 comment:

Anonymous said...

Raisi Kichaka ni mwizi an ni puppet. Angalia jinsi alivyowalipa wajeuri watengeze vifaa vya vita ili viuzwe kwa ajili ya kuwaua watu mashariki ya kati.
Watu walikufa kwenye ubalozi huu wa kijasusi hapo bongo na wengineo wengi ulimwenguni. Yote ni uongo.
Hawa ndio maadui wa uhuru.
Waliyafanya ya kutisha ktk nchi hizi kwa kuwaweka kwenye madeni makuu. Je sisi wabongo watatufanyaje???
http://www.prothink.org/2007/12/jewish-role-in-african-slave-trade_29.html,
http://video.google.com/videoplay?docid=-1583154561904832383,
http://video.google.com/videoplay?docid=-7336845760512239683
Haya shime hebu tueneze ukweli huu.
Ukitaka kujua kilitokea nini kuminamoja mwezi wa tisa angali video hizi:
http://www.geeman-headquarters.com/Hufsmid_Movie.html