Friday, January 25, 2008

POLISI WA KIBONGO

Cheki hawa polisi wa kibongo wananavyotisha hapa hawajalikimbniza gari wamelikuta tu, imagine kama wangewakuta na majambazi, ingekuwaje? Unaweza kufikiri ndio wao!

1 comment:

lukas said...

Interesting pictures and information about Tz i didnt know.Thanks man!!