Saturday, January 19, 2008

RAIS KIKWETE ZIARANI KAGERA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Askofu mkuu wa kanisa la Orthodox Tanzania Jeronymos Muzeeyi muda mfupi baada ya Rais kuweka jiwe la msingi katika hospitali hiyo huko Kitendaguro,katika manispaa ya Bukoba.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wanafunzi wa shule ya msingi ya bweni ya KEMEBOS iliyopo Ijuganyondo katika manispaa ya Bukoba muda mfupi baada ya Rais Kuifungua shule hiyo.

No comments: