Saturday, January 19, 2008

Da COMEDY IN Da HAUZ

Jotty akiwa na wenzake wakati wakuhamasisha polisi kuhusu umuhimu wakupima Ukimwi.
MacGregory akifanya ujasiliamali, kil amtu hula kwa mbinu zake!
Masanja yaani hata akivaa suti yuko hivyohivyo, hii mimacho hawezi kutisha watoto?

No comments: