Wednesday, February 13, 2008

BAMINISTERI

Baraza la mawaziri linakuwa kama hivi!
Mzee wa Wizara ya vitoweo, John Pombe magufuli akila kiapo.
Andrew Chenge pamoja na maneno ya watu lakini kala kiapo, kasema wanaomsema wamuulize rais aliyemteua.
Masha ndie kashika usukani wa polisi magereza na wengine kama immigration, kisha kula kiapo cha kuanza kazi.
Waziri wetu wa Habari, George mkuchika nae ndio mpaka vile!

No comments: