Friday, February 15, 2008

MATUMAINI

Wakati viongozi wa nchi wanalalama kuhusian ana ufisadi wengine wakisafir kuja dar es Salaam kumlaki Bush watoto hawa wa kitanzania wako vijijini wakisubiri maisha bora. Wanaishi kwa matumaini wakisubiri kupata elimu na maisha katika Tanzania yenye neema!

No comments: