Tuesday, February 05, 2008

BARAK OBAMA

Mgombea tiketi ya kugombea urais kwa chama cha Democrats , Barak Obama akiwa katika kampeni jana.
Baba yake Barak Obama jamani anayemjua jina aniambie nasikia mkenya huyu alikuwa Profesa! Mzee huyu anaonyesha alimtosa mama yake!
Senator Barack Obama akiwa mtoto katika picha ya familia akiwa na baba yake wa kambo Lolo Soetoro, mama yake Ann Dunham na mdogo wake Maya Soetoro miaka hiyo.
Kajamaa kumbe kalikuwa kanacheza baseball!

3 comments:

Anonymous said...

Huyo kama sikosei anaitwa prof. Husein. Niliwahi kusikia katika BBC kuwa Barak jina lake la katikati ni Husein.

Anonymous said...

nasikia alikuwa anatoka Pwani ya Kenya, Mombasa ama kisumu

Anonymous said...

mama yake ndio mjaluo baba yake mzungu jamani......
yule Kenya ni bibi yake mzaa mama...