MICHUANO YA AFRIKA
Ahmed Fathi wa misri akiwa amebanwa na waangola Alberto Manucho Sebastiao Gilberto wakati wa mpambano wao katika fainali za Afrika mjini Kumasi Ghana. Misri ilishinda 2-1
Samuel Eto'o wa Cameroon akikabwa na Joahar Mnari wa Tunisia katika mechi nyingine ya michuano hiyo mjini Tamale Ghana.Cameroon ilishinda 3-2
No comments:
Post a Comment