Tuesday, February 05, 2008

FEDHA ZA BOT

Inasemekana eti dolali zote hizi zimekutwa kwa mmoja wa mafisadi wa BOT!!!!?? mtu anaweza kumaliza zote kweli?

3 comments:

Anonymous said...

duh mi hoi
aliko

Anonymous said...

no, hizo pesa zimetolewa kwenye gazeti la washington post, ni mchina mmoja alikamatwa nazo maryland alikuwa anafanya dili za drugs, acheni uzushi wadau wangu..

Anonymous said...

he, hela chumba kizima, kweli kuna watu mafisadi