Monday, February 18, 2008

BUSH AT DINNER STATE HOUSE

Rais Jakaya Kikwete akimuongoza mgheni wake Rais Bush kwa ajili ya maakuli Ikulu jana usiku.
Cheki kipodium chetu locally made, hapa ndio Kikwete anaponimalizaga.
Jamaa kama anamwambia 'mshikaji nifungie wali wa nazi unajua kwetu hakuna!' Mimi Konyagi siiwezi!
Jamani Charles Basi, Bush anamcheki Shein anavyogonganisha na mkewe, anapenda vya watu lakini wake anamaindi
Wote walikuwa wanchekelea ngoma za asili, lakini Bush sijui mawazo yake yalikuwa wapi ama alitaka kusalimiana na mtu kama Uwanja wa Ndege?


No comments: