Sunday, February 17, 2008

WAGENI IKULU

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bi Condoreza Rice akiwasalimia wananchi alipoingia Ikulu Dar jana. Alikuwa na mvuto wa kipekee sijui kwakuwa ni bomba ama kw akuw ani black?
Wakuu wa nchi mzee wa Mpanda, Mizengo na hata wa Pemba Dr Shein walishuhudia.
Bush akimwaga neno kwa waandishi wa habari.
wageni waalikwa wa kimarekani wakifuatilia shughuli.

4 comments:

Anonymous said...

Mzee wa sumo nakupoingeza kwa kazi nzuri uliyoifanya yaani mi snap nimeikubali, keep it up, wadau tunashukuru sana kwa kutupdate.

Anonymous said...

good work Mpoki!

Anonymous said...

Namzimia kinoma Kondi rice!

Anonymous said...

Black is beautiful!!! Condo ni bomba pia kitabu kimepanda kichizi hata huyo boss wake (Bush) haoni ndani.

Mwakyusa
UK