Sunday, February 17, 2008

ULINZI SI MCHEZO

Askari wa Marekani akipita na mbwa ili kuhakikisha kuw amaeneo hayo ni salama kwa wazee kuingia.
Ma FBI wakilinda gari la Bush, Cadillac One ilipowasiri mlango wa Nyuma wa Ikulu!
Hapa ndio waliwekwa wataalamu wakiwa na madarubini yao sijui yalikuwa na uwezo wakuona Dar nzima ama kung'amua magaidi, sijui!
Cheki mshikaji yuko juu ya paa la Ikulu na nguo nyeusi lazima aliungua sana na jua maan amsimu huu Dar si inajulikana kwa joto!
Jamaa wakiwa na mizigo yao tayari kwajili ya kuimarisha ulinzi!

2 comments:

Fulvio said...

Hello From Brasil
Good Pic's

Anonymous said...

mmmmh, kwa kweli wenzetu wako mbali sana kwa suala zima la usalama, mimi nashindwa kuelewa pentagon iliwezaje kuvamiwa.maana huo ulinzi uliokuwa dar si mchezo, nakufagilia mzee wa Sumo kwa masnap ya nguvu.

Mdau toka Norway