Sunday, February 17, 2008

BUSH IKULU DAR

Rais Kikwete akiingia na mgeni wake katika lango la Nyuma la Ikulu na kulakiwa na watanganyika waliofurika huko.
Bush akashindwa kujizuia akaanza kugawa mikonio kwa kila mmoja aliyeweza kumshika.
Walifurahi sana na kila mmoja alijaribu kumfikia!
Baadae wakatoka pamoja kwa ajili ya kukutana na waandishi.
Walisaini pia Millenium Challenge Compact Agreement ambapo Tanzania itapata dola kibao kwajili ya kuondoa umaskini kwakuboresha miundombinu na mawasiliano. Msaad ahuo mkubw akuliko yote kutolewa na Marekani.

3 comments:

Anonymous said...

kusema kweli mapokezi ya Bush yalifana sana, mtu huwezi jua kama kuna watu walikuwa wanampinga. Hao viongozi wenyewe walivyopendeza na sare zao, kwa kweli nimeadmire, thanx kwa picha nzuri na kutupa ma breking news

Anonymous said...

Tunakushukuru Bish kwa msaada wako wa nguvu, mgeni njoo mwenyeji apone, ila tunachoomba huo msaada uwafikie walengwa na isiwe kama richmond, kikwete kuwa mkali sana na hao mafisadi

Anonymous said...

Kesho tuone tena maandamano ya waislamu kutaka hizo hela zisitumiwe na waumini wao, maana hawakutaka aje, nikiona kimya nitajua kuwa kumbe walikuwa danganya toto