Sunday, February 17, 2008

FIRST LADIES

Mke wa Wziri Mkuu, Tunu Pinda akiwa na wake wa marais wastaafu, mama Sitti Mwinyi na mama Anna Mkapa jana wakati ya shughuli ya mafirst ladies! Ameshaingia kundini.
Mama Bush anashangaa zawadi ya kibongo, tumezidi kwa ukarimu jamani!
Hili ni tenge alilopiga first lady wetu leo alipokuwa na shughuli na mke wa Bush Karimjeee wakati wazee wanatia saini mambo makubwa zaidi.
Jamani sijui mtu akiwa mpya ndio inakuwa hivi hebu cheki Mama Pinda akiwa ameduwaa huku Mama Mwanamwema Shein akizungumza na Mama Siti kw aupande wa pili mama Mkapa akiwa na Mama Lowassa! kama wamemtenga? Hii appearance ya kwanza kwa mama Lowassa tokea matatizo ya Bungeni.

3 comments:

Anonymous said...

mwamba hii picha ya mwisho umenichekesha! asante sana.

f m tungaraza.

Anonymous said...

Hao wawili wazanzibari, hawa wengine ni dodoma na Moshi mtu na mtani wake. Waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba.

Ndio maana kwenye siasa unaambiwa uwe na inner circle, sasa yeye anatakiwa awe karibu na watu kwenye hiyo cirlce ili asibaki peke yake

Anonymous said...

Ah !!wamtenge tu huyo si ni fisadi??au??
mtanashati.blogspot.com