Saturday, February 16, 2008

JAMANI BUSH MKE WA WATU HUYO

Mimi hii picha ndio imenimaliza kwa leo yaani mzee kashika kama wa kwake, sijui angekuwa mai waifu wangu leo kungelalika nyumbani angegoma hata kuguswa! Alimuona tu pale Airport akamtunuku akakumbatia ndio hivyo tena!

3 comments:

Anonymous said...

Huyo mumewe nyumbani sio ujiko huo, mkewe kakumbatiwa na Bush!!!
kwa kweli mama unabahati, raisi wa dunia kukukumbatia sio mchezo, tunashukuru kwa picha hii nzuri

Anonymous said...

bus no noma
mtanashati.blogspot.com

Anonymous said...

Na kama ingekuwa mie hiyo nguo nisingeifua maishani. Bahati ya mtende, watu wangapi hata hao marais wengi tu hawajawahi kukumbatiwa au kushikwa mkono na BUSH.... LOL