Saturday, February 16, 2008

WAMAREKANI SI MCHEZO

Jamani wamarekani wababe yaani wameingiza Aproni mpaka jirani na ndege hata jamaa wa Airports authority sijawahi kuona gario yao hapo kweny apron sijui barabarani klakini walifika!
Mzee Bush alikuwa full Mzuka yaani kapagawa kichizi akataka kusalimia kila mtu!
JK alikuwa metulia tu anamwonyesha ukalimu wa nchi yetu, akamwambia endeleeeeeeeaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!

1 comment:

Anonymous said...

watu hapo wamepagawa kukutana na raisi wa Dunia live, nmmmh yaani hawaamini