Mimi hii picha ndio imenimaliza kwa leo yaani mzee kashika kama wa kwake, sijui angekuwa mai waifu wangu leo kungelalika nyumbani angegoma hata kuguswa! Alimuona tu pale Airport akamtunuku akakumbatia ndio hivyo tena!
3 comments:
Anonymous
said...
Huyo mumewe nyumbani sio ujiko huo, mkewe kakumbatiwa na Bush!!! kwa kweli mama unabahati, raisi wa dunia kukukumbatia sio mchezo, tunashukuru kwa picha hii nzuri
Na kama ingekuwa mie hiyo nguo nisingeifua maishani. Bahati ya mtende, watu wangapi hata hao marais wengi tu hawajawahi kukumbatiwa au kushikwa mkono na BUSH.... LOL
3 comments:
Huyo mumewe nyumbani sio ujiko huo, mkewe kakumbatiwa na Bush!!!
kwa kweli mama unabahati, raisi wa dunia kukukumbatia sio mchezo, tunashukuru kwa picha hii nzuri
bus no noma
mtanashati.blogspot.com
Na kama ingekuwa mie hiyo nguo nisingeifua maishani. Bahati ya mtende, watu wangapi hata hao marais wengi tu hawajawahi kukumbatiwa au kushikwa mkono na BUSH.... LOL
Post a Comment