Tuesday, February 19, 2008

BURUDANI IKULU

Msanii akimburudisha Rais Bush na kafilimbi sijui Zumari? lakini alikuna kwelikweli!
Rais Kikwete na mkewe wakiwa na wageni wao wakishuhudia burudani za asili
Jamani walicheza vizuri ngoma ya kigogo walistahili pongezi.
Rais Bush na wasanii wakibongo watu walidai Oohh Bush hakaribiani na mtu labda awe amepangw akumbe sio kweli bwana kuna watu walipata kismati tu akawapatia kiganja kugusa.

No comments: