Tuesday, February 19, 2008

KWAHERI BUSH

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Makamu wake Ali Mohamed Shein na Waziri Mkuu Mizengo Pinda asubuhi leo walipoende kumuaga rais George Bush.
Wakinamama wakinengua wakati wa kumuaga Rais wa Dunia.
Cadillac za Bush zikiingia tayari kuondoka wanapanga kadhaa ili isishtukiwe ipi ni Cadillac One, alikuw akwenye ya nyuma!
Rais Kikwete akimuaga mgeni wake mashuhuri, hapa waliminya kw amuda mrefu wakila stori kabla jamaa hajapanda ndege.
Rais Bush na mkewe wakiwaaga watanzania kabla ya kuelekea Rwanda kwa ziara ya siku moja!

No comments: