Tuesday, February 19, 2008

SISI SIO CADILLAC BWANA NI BENZ

Aisee yaani watu walivyokuwa anasifia Cadillac ya Bush, eti ooh milango sita sijui nini unaona Benzi hii?
Hiki ni kitu cha Ikulu ya Bongo kama jamaa asingekuja na yake basi angepanda hii! Kwanza zote ni milango minne tu sehemu nyingine space ya matanuzi!

NB. Jamani hapo sio kubondeka liko fit ni reflection ya gari nyingine!!!!! bado liko fit.

1 comment:

Anonymous said...

mbona ilishagongwa tayari?? ama ni kwenye foleni za bongo??