Saturday, February 16, 2008

MAPOKEZI YA BUSH

Jiji letu kwasasa linang'aa kwa bdera za Bush na za Kikwete kunapendeza kichizi Hapa ni nje ya Kilimanjaro Hoteli Kempiski.
Mabango kama haya yametawanywa mji mzima.
Cheki Morogoro road ilivyo kama waislamu jana wangetokea Ubungio wangeng'oa zote hizi!

1 comment:

Anonymous said...

Woooow, kumependeza kweli, hao waislam hawana sera ni uvivu wao wa kazi tu. Karibu Bush, ni heshima kubwa saaaaaana kuja kututembelea. Karibu uje uone misha yet halisa, we love you.