Saturday, February 16, 2008

BUSH AFRIKA

Jamani huyu mzee ameshaingia Afrika hapa alikuwa Benin sasa hivi ndio yuko njiani kuja Tanzania, huko mshikemshike kichizi katika mapokezi, ntakwenda nikikosa picha msinilaumu mara nyingine miili yetu inatufanya tuonekane magaidi! Baadae basi mtapata zaidi. ngoja niwahi.

3 comments:

Anonymous said...

Karibu Bush, karibu saaaaana, karibu kwetu, tunadhamini heshima kubwa uliyotupa kuja kututembelea,na pia tunashukuru kwa misaada yako mingi unayotupa. Karibu saaaaaaaaaaana.

Anonymous said...

Tunasubiri mapicha ya Bush akitua Bongo, umekumbuka kuvaa suti lakini? oooh, vi-tshirt havitakiwi huko muulize mwenzio Michuzi katolewa baru na ka tishert kake

Anonymous said...

wahi wahi basi mzee wa sumo tunasubiri mipicha hiyo