Saturday, February 16, 2008

BUSH TANZANIA

Air Force One iko angani wazee wetu wanaiangalia ndio Bush anaingia hivyo! ama hamwafahamu, Kushoto, Shamsi Nahodha wa ZNZ, Mizengo Pinda, Shein na JK! mambo bado hapo!
Mzee kaamua kushangilia mgeni wake kaja pamoja na fitna zooooote!
Viongozi wa majeshi ya ulinzi na usalama walikuwepo pia! nikawanasa!
Mara hooo! Bush na mkewe hao wanaelekea ardhi ya biongo!
Walishangiliwa kichini mpaka walichanganyikiwa na bongo! hakukuwa na vurugu wakla muandamanaji leo!

4 comments:

Anonymous said...

Jk anashangilia minoti hiyo inakuja, hahahahha, yaani anaonekana yuko happy sana. Big up kwa picha nzuri, this is the picture of the week

Anonymous said...

ooooh Bush hatumtaki yako wapi sasa????? Jk mwenyewe anashangalia mgeni wake anakuja. Karibu Bush Tanzania, tunakupenda sana hasa mkeo mama Laura ambaye anaonyesha ana mapenzi ya wazi na nch yetu

Anonymous said...

Msee wa Sumo hivi ilikuwaje Jk akavaa sare na ngeni wake, walipanga nini? nasubiri comment zako

Anonymous said...

mgeni njoo mwenyeji apone, tunashukuru sana kwa picha hizi nzuri