Saturday, February 16, 2008

MAMBO YA AIRPORT

Pamoja na hali hiyo lakini jamaa wa FBI sijui CIA walikuwa kila kona wakilinda mzee wao hawakujua waTZ walikuw ana hamu tu ya kumuona Bush, ulinzi wao ulikuwa sio mchezo!
Hili ndio dege alilokuja nalo mitaa ya jioni jioni kichizi kam amtu akiw ana kamera mtoto amelia!
KJ anasalimiana na wapambe wa Bush walikuja na ndege mbili ilitangulia nyingine kama Airforce One na baadae akashuka yeye!
Mzee alipagawa kichizi yaani hata kama ingekuwa vipi lakini nina uhakika kaipenda Bongo alifikia hadi kukukbatia ......subiri itakuja hiyo!

Akakagua jeshi la wananchi (JWTZ) Eee Bwana eeh hii ni mara ya kwanza kwangu kuona mizinga inapigwa saa moja usiku si unajua bendera yetu inashuka saa 12?

No comments: