Saturday, February 16, 2008

MILA NA DESTURI

Wabongo tunabadilika sana yaani harusi zetu tunasahau kabisa mila, hata tukifungia makanisani tunatakiwa tufanye na kienyeji kidogo ndio maan ampaka leo hakun avazi la kibongo, wabunifu wetu walitoa manguo ya west Africa eti ndio kibongo. Hawa ni wanyaturu wakati wa ndoa, wazee walikuwa wanaonyesha jinsi ya kudumisha mila!

No comments: