Saturday, February 16, 2008

ROAD ZA BONGO!

Yaani kama sasa hivi hawatapiga marufuku biashara ya scrappers (vyuma chakavu) basi kuna siku hadi vyuma vya ukuta wa Ikulu vitaibwa, wameshaiba kwenye madaraja, barabarani na kila sehemu. Hivi Bush akipita hapa leo ndani ya Cadillac One, itakuwaje? ama ndio maana wameleta na Helkopta Marine One?

No comments: