Friday, February 29, 2008

NDANI YA CITY

Jamani wengi tumetembea nchini kwetu lakini sijui kama wengi wanajua nyumba kama hizi zinapatikana wapi?

2 comments:

Anonymous said...

hapa ni mwanza, mtaa wa igogo au kilimahewa, ubaya wa hapo choo ndo balaa, sababu ngumu kuchimba hiyo aridhi.

Anonymous said...

Mwanza hapo, mbona zipo nyingi tu za hivyo mjini mwanza?