Friday, February 29, 2008

UKICHAA MTUPU

Kuna Mdau kaniletea pich ahizi kasema tushee jinsi watu wanavyoweza kunasa matukio!!!!!!!! Cheki bat ilivyompata huyu mzee!
Hapa ndio wanasema happy ending, mtaalamu wa baiskeli imemponyoka!
Ooooh! Kataili kameng'oka sijui hapa atafikia nini?
Mambo ya kucheza na ng'ombe, kwani watu walikwisha wa kucheza nao?
Hapa nani ataumia zaidi wa juu ama wa chini?

No comments: