Friday, February 29, 2008

WE ACHA TU!

Maaamaa weeeee! hapa kama sio kutafuta kifo ni nini?
Sasa hapa ndio kuangukia pua helmet haisaidii kitu!
Kweli kifo cha nyani miti huteleza sasa akikimbilia amajini hili dude halimpati? Cheki sura yake!




5 comments:

Anonymous said...

the The first picture is happend in china.

Anonymous said...

happed NO 'happend'

my english is so bad!

Anonymous said...

kwani lazima uandike english hata kama hujui?? andika lugha unayoifaham, hakuna ulazima hapa!

Anonymous said...

sasa unataka aandike kichina si mtasema anawatukana?

Anonymous said...

wallmind.blogspot.com