Yaani nimekumbuka kamchezo kakujipikilisha, maisha ya zamani yalikuwa mazuri sana kwa watoto sio kama wa siku hizi hizi wanatumia ready made toys! Cheki kaman kanavyomcheki mwenzie!
3 comments:
Anonymous
said...
Mpoki, Nashukuru umenikumbusha mbali sana...mimi nilikuwa napenda kucheza nafasi ya baba. Tatizo wale waliokuwa wakicheza nafasi ya watoto walikuwa wakilalamika sana, kuwa usiku unakuwa mrefu kuliko mchana.
mzee wa sumo hapo kwenye ritungu ndo nyumbani, kama una video clip ya ritungu rusha hewani nione wale wadada wanavyo cheza na akina mura! Tooo tooo! umuya wa abhanyamokolyo!
3 comments:
Mpoki,
Nashukuru umenikumbusha mbali sana...mimi nilikuwa napenda kucheza nafasi ya baba. Tatizo wale waliokuwa wakicheza nafasi ya watoto walikuwa wakilalamika sana, kuwa usiku unakuwa mrefu kuliko mchana.
hahahhahha, nimekumbuka mbali, za kwenda ndani na kuiba mafuta, chumvi, kitunguu, nyanya ili kujipikilisha, wooow i will never forget those days
mzee wa sumo hapo kwenye ritungu ndo nyumbani, kama una video clip ya ritungu rusha hewani nione wale wadada wanavyo cheza na akina mura!
Tooo tooo! umuya wa abhanyamokolyo!
Post a Comment