Tuesday, March 04, 2008

BABA NA MAMA

Yaani nimekumbuka kamchezo kakujipikilisha, maisha ya zamani yalikuwa mazuri sana kwa watoto sio kama wa siku hizi hizi wanatumia ready made toys! Cheki kaman kanavyomcheki mwenzie!

3 comments:

Anonymous said...

Mpoki,
Nashukuru umenikumbusha mbali sana...mimi nilikuwa napenda kucheza nafasi ya baba. Tatizo wale waliokuwa wakicheza nafasi ya watoto walikuwa wakilalamika sana, kuwa usiku unakuwa mrefu kuliko mchana.

Anonymous said...

hahahhahha, nimekumbuka mbali, za kwenda ndani na kuiba mafuta, chumvi, kitunguu, nyanya ili kujipikilisha, wooow i will never forget those days

Anonymous said...

mzee wa sumo hapo kwenye ritungu ndo nyumbani, kama una video clip ya ritungu rusha hewani nione wale wadada wanavyo cheza na akina mura!
Tooo tooo! umuya wa abhanyamokolyo!