Tuesday, February 12, 2008

NIMEMALIZA

Rais Jakaya Kikwete akitimua baada yakupanga upya timu ya ushindi leo ambapo amewaondoa mawaziri kamili kumi na manaibu saba. Kuna wengine amewataja kuwa waliomba kupumzika
1. Mawaziri waliokumbwa na 'panga' hilo, ni Zakhia Meghji (Fedha)

2. Anthony Diallo (Maendeleo ya Mifugo) Basili Mramba (Viwanda, Biashara na Masoko).
3. Joseph Mungai (Mambo ya Ndani)
4. Dk Juma Ngasongwa (Mipango, Uchumi na Uwezeshaji)
5. Kingunge Ngombale-Mwiru (Ofisi ya Rais-Siasa na Uhusiano na Jamii) 6. Dk Ibrahim Msabaha (Ushirikiano wa Afrika Mashariki) na Nazir Karamagi (Nishati na Madini).
Manaibu mawaziri waliochwa ni:
1. Abdissalaam Issa Khatib (Fedha)
2. Ludovick Mwananzila (Elimu na Mafunzo ya Ufundi).
3. Daniel Nsanzugwanko (Habari, Utamaduni na Michezo)
4. Dk Charles Mlingwa (Maendeleo ya Mifugo)
5. Gaudence Kayombo (Mipango, Uchumi na Uwezeshaji).
6. Ritha Mlaki
7. Abdisalam Issa Khatib

No comments: