Tuesday, February 12, 2008

WALIOREJEA KUNDINI

Basil Mramba alijuklikana mapema kuwa asingerejea baada ya kashfa kadhaa hapo mbeleni!
Dr JumaNgasongwa mtaalamu wa mipango wa muda mrefu, amepumzika!
Kingunge Ngombale- Mwiru, Muda uliisha kwa kweli mwacheni ampumzike! Ametumikia awamu zote!
Joseph Mungai, Mmhh! Mfanyabiashara, rais alisema mapema! Samahani nimemuangusha!
Mama Zakia Meghji, walimuingiza mkenge BoT isingekuwa raisi kurejea Barazani!!!!

No comments: