Tuesday, February 12, 2008

SHEREHE

Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (kushoto) akipongezwa na
Mbunge wa Kahama, James Lembeli.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Diodorus Kamala (kulia)
akipongezwa na jamaa yake Frank Teodoli jana nyumbani kwake Kilimani,
Dodoma. Mpiganaji anatisha sasa!
Jamani si mmesikiaaaa, au? Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dr. Jamas Wanyancha
akiwasiliana na jamaa zake mara baada ya breking newz.

No comments: