Tuesday, February 12, 2008

VIJIMAMBO

Jamani ya leo kali kuna mtu kanitumia aka kaujumbe nikasema nishee nanyi.

Eti wanasema Viongozi wote wa juu wa nchi wanatoka kuzito. Rais katoka Bagamoyo, Makamu wa Rais, Dr Ali Mohamed Shein, Pemba na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Sumbawanga!
Swali: wale wataalamu wa ndumba wataenda wapi kupuliza???????

2 comments:

Masai said...

Aaaah Simpoooo!!

Kigoma Ujiji,Buzebazeba Kwa mtoto wa marehemu Juma Njemba

Anonymous said...

Mhhhh, labda Tanga, naana nako kuzito