Tuesday, February 12, 2008

WAZIRI WA KITOWEO

Akiwa katika pama lake la Kicowboy, Mtaalam John Pombne Magufuli amepewa Wizara ya Vitoweo (Samaki na Mifugo) wengi walitarajia angerejeshwa Ujenzi ama miundombinu!!!! Tunasubiri makeke ya huko kwa wamolani!

1 comment:

Anonymous said...

sioni kama kikwete amemtendea haki, he is hardworking,alitakiwa kuwa palepale alipokuwa, isitoshe he is open, nampendea hicho kwa kweli, haogopi kusema ukweli.