Monday, February 18, 2008

VIATU VYA WAZEE


Jamani hapa ni kama shindano nataka mtu aniambie viatu vya juu ni vya nani na chini vya kulia na kushoto ni vya nani? zawadi itatolewa!

7 comments:

Anonymous said...

Hapo juu ni viatu vya G. Bush

Chini
Viatu vya G. Bush (kushoto) na J. Kikwete (kulia)


kapongola@yahoo.com

Anonymous said...

Hata mimi namuunga mguu Kapongola,

Viatu vya juu ni vya Bush,

Hiyo buti kali maana hivyo viatu viko very comfy - vinatoa nafasi kwa vidole kucheza cheza- na pia madizaina wengi wanavipenda kuvitengeneza kwa hiyo hiyo buti inaweza kuwa hata paundi 350. Nimeona ni Bush maana tangu ameingia Bongo inaoneka yuko kwenye mudi ya vakesheni na kuinjoy sana.

Wakati JK yuko kwenye mudi ya kazi na kutaka kujionyesha au kijifagilia na pia inaonekana amejiandaa sana kwa ajili ya huu ujio, kwa hiyo chaguo la nguo na viatu lazima litakuwa kulingana na mudi yake. Kutokana na sababu hiyo naona hiyo katambuga ya kuchongoka ambayo pia ni ya matawi ya juu na isistoshe vya kuvutia kiana, ya mtoko wa nguvu kama Oscars hivi itakuwa tu ya JK...

AU????

Lilly in UK

Anonymous said...

Zawadi gani utatupatia Mzee wa sumo? Fafanua tafadhali!

Anonymous said...

Mambo ya kiswahili haya!! Mbona umesita kutaja zawadi unayotaka kutoa kwa mshindi? Hauchelewi sikia ... zawadi kwa mshindi ni..... kutuma salamu kwa ndugu zake kupitia blog hiii.... what a prize????

Tupe matokeo kaka!!

Anonymous said...

Dah, mzee wa sumo hapa unataka tu uone ni jinsi gani raia wanavyoipenda "glob" yako....hakuna cha zawadi wala nini!!!! Anyway kama hiyo zawadi ipo basi mimi ndo mwenye nayo...!!!
Hapo juu kabisa ni rais wa dunia bw. Bush na chini kushoto ni Bush na kulia ni bw. Kikwete.

marcomwenda@yahoo.com, naomba zawadi yangu fasta mzee wa sumo.

Anonymous said...

huyu jamaa hana zawadi ila anataka tu aone kama raia huwa wanapita hapa, sisi wazembe wa kusoma magazeti blog za picha ndo kwetu mkuu, wee leta mafotozz tu kwa kwenda mbele, habari tunajenga wenyewe kutokana na picha ilivyo! kusoma gazeti kama raia mwema linaa maandiko mengi halafu yote yanafanana!!

Anonymous said...

Chokoraa hujatulia kabisa... kwamba habari tutajenga wenyewe!!!!