Wednesday, March 12, 2008

BANDARI YETU DAR ES SALAAM

Bandari ya Dar es Salaam ikiwa imefurika mizigo kutok ang'ambo, magari makontena na bidha anyingine kibao, sijui tatizo ni watu wanaagiza vitu wasivyohitaji, ama hawana pesa ya kugomboa au urasimu wa shirika lenyewe katika utoaji wa mizigo? Amam inaachw ahivi ionekane pako bize? Lakini huku sio TICS kwenyewe ni kuleee mwishoni!

1 comment:

Anonymous said...

Jamani haya magari,maharage? Fikiria yakiingia yote mtaani hali ya foleni na joto dar patakalika?