Wednesday, March 12, 2008

NAOMBA MSAADA

Mkurugenzi Mtendaji wa gazeti la Mwanahalisi, Saed Kubenea akiteta jambo na Mkuu wa Jeshi la polisi, IGP, Said Mwema jana. Sijui alikuwa anaomba msaada wa ulinzi asimwagiwe tindikali tena? ama alikuwa anataja mafisadi?

No comments: